Gender Policy

Sera ya Jinsia (Gender policy)  2002

Sera ya Jinsia itatumika kama dira na Mwelekeo wa Chuo katika Masuala yote yanaofungamana na jinsia.Huu ndio utakuwa msingi katika kujenga mikakati ya kufanikisha  malengo na madhumuni kuhusu uelewa wa jinsia Chuoni.Sehemu hii inazungumzia dira mwelekeo,lengo na Mikakati kuhusu Sera ya Jinsia ya Chuo Kikuu cha Sokoine Cha Kilimo